SAFARI KUELEKEA NYUMBANI
Duniani sisi sote ni wasafiri na wapitaji katika safari yetu kuelekea mbinguni. Tangu mwanzo, vizazi vyote viliishi kwa kujua kuwa wao ni wapitaji tuu, tangu Adamu hadi mitume... Waebrania 11:13-16
Muongozo au ramani ya safari hii ya pekee ni maandiko matakatifu yaliyoko katika Biblia pekee ambapo humo yamamfunua kiongozi wa safari hii, Yesu Kristo, aliye njia ya uzima.....(2 Timotheo 3:16,17; Yohana 14:6)
Karibu ujumuike pamoja nasi pale upatapo nafasi. Mahali ni chuoni Muhimbili - Lecture Hall 3 pamoja na Chole hostels, nyuma ya block F! Muda ni 1930-2030hrs na tarehe ni 14-26/02/2016!

Tags:
sermons
Bwana wa mavuno twasihi upeleke wavuni
ReplyDelete